Hata wapinge au wakubaliiii lazima waseme Yesu Ni Bwana,.
Nilikuwa kipofu sasa Naona
Nilikuwa siwezi sasa naweza
Nilikuwa mgonjwa sasa nimepona
Mwenye dhambi sasa nimesamehewaa
Ashukuliwe Mungu wa mbingu na nchi yeye naweeza tuimbe woteee
Yesu ni nan nii Bwana
Yesu ni nani ni Bwana
Yesu ni nani ni Bwana
Nasema yeye ni nani ni Bwana
Wapinge wasipinge Yesu ni Bwanaaah wakubali wasikubali Yesu ni nani ni Bwana*2
Mimi ninayosababu iliyosababisha
Nikili kwa Kinywa changu kuwa Yesu ni Bwana
Hapa nilipo ni kwa nguvu zake hata pumzi yangu ni kwa nguvu zake
Maisha yangu yote ni kwa nguvu zake wote tuimbe
Yesu ni nan nii Bwana
Yesu ni nani ni Bwana
Yesu ni nani ni Bwana
Nasema yeye ni nani ni Bwana
Wapinge wasipinge Yesu ni Bwanaaah wakubali wasikubali Yesu ni nani ni Bwana *2