Frobits
🎵 A song made on Frobits

Jina Lako Litukuzwe (Remix)

0:000:00
Download
Make your own song
Lyrics

MUNGU, bwana wangu amenena na kuiita nchi Toka mawio ya jua hata machweo yake, Tokea sayuni , ukamilifu wa uzuri Mungu amemlika,ataziita mbingu zilizo juu, na nchi pia ili awahikumu watu wake, MUNGU wetu wa upendo akasema nikusanyieni Wacha Mungu wangu waliofanya agano NAMI kwa dhabihu mpendwa acha nikwambie Mungu atasubilia uweke agano na yeye ili ufanyike mwana wa pendo lake usiongee huduma mwili wako ili uutoe uwe dhabihu kwa Mungu wako, ili upatapo mateso umwite naye akuokoe na wewe umtukuze, uimbe wimbo wa shagwe e e e e e e e
Ee Mungu wangu kwa jina lako uniokoe, uyasikie maombi yangu, yasikie maneno ya kinywa changu YESU wangu mh mh mh mh mh mh, Wala usijifiche nikuombapo Rehema ukanisikie baba yangu na kunijibu, maana wewe ni kimbilio langu, nguvu yangu, ngao yangu, Nuru yangu, tabasamu langu, mwamba wangu usiotikisika, umbu langu ni wewe baba yangu u u u u u la la la la la Yesu nitakuja kwako mwanao nisikie moyo wangu unakuonea kiu kama ayara ayatamanivyo maji
Lakini mpunbavu husema moyoni hakuna Mungu maana hutenda uovu wa ufisadi na kuchukuza hawezi kutenda mema ili MUNGU amwitikie siku ya shida yake
uimbe wimbo wa shagwe e e e e e e e
MUNGU wetu wa upendo akasema nikusanyieni Wacha Mungu wangu waliofanya agano NAMI kwa dhabihu mpendwa acha nikwambie Mungu atasubilia uweke agano na yeye ili ufanyike mwana wa pendo lake usiongee huduma mwili wako ili uutoe uwe dhabihu kwa Mungu wako, ili upatapo mateso umwite naye akuokoe na wewe umtukuze, uimbe wimbo wa shagwe e e e e e e e
Ee Mungu wangu kwa jina lako uniokoe, uyasikie maombi yangu, yasikie maneno ya kinywa changu YESU wangu mh mh mh mh mh mh, Wala usijifiche nikuombapo Rehema ukanisikie baba yangu na kunijibu, maana wewe ni kimbilio langu, nguvu yangu, ngao yangu, Nuru yangu, tabasamu langu, mwamba wangu usiotikisika, umbu langu ni wewe baba yangu u u u u u la la la la la Yesu nitakuja kwako mwanao nisikie moyo wangu unakuonea kiu kama ayara ayatamanivyo maji
umbu langu ni wewe baba yangu u u u u u la la la la la Yesu u u u u u la la la la la Yesu mhh

More songs by God Listen to songs created by others
FROBITS