[female vocals] Happy
birthday
mtoto
mzuri,
Zuri
mtoto
wangu
Ni
baraka
kukupata
wewe,
furaha
ya
moyo
wangu
Heri
ya
kuzaliwa,
leo
tunasherekea
Neema
imekubeba,
ushidi
ni
wako
Kufika
hapa
ni
ishara
tosha
Kua
wewe
ni
mshindi,
hakuna
kuogopa
Neema
imevunja
sheria,
ikakufanya
mrembo
Umekuwa
mzuri
mno,
umekuwa
kielelezo
Kakako
anakupenda,
mie
mamako
nakupenda
Upendo
wetu
kwako,
hauwezi
kulinganishwa
Happy
birthday
mtoto
mzuri,
Zuri
mtoto
wangu
Ni
baraka
kukupata
wewe,
furaha
ya
moyo
wangu
Heri
ya
kuzaliwa,
leo
tunasherekea
Neema
imekubeba,
ushidi
ni
wako
Naomba
baraka,
upendo
na
mafanikio
tele
Uishi
kwa
ushindi,
upate
mema
milele
Baraka
zikufuate
popote
uendapo
Unapendeza
sana,
eiii,
unafurahisha
Baraka
yetu
Tumeshuhudia
kukua
kwako,
bado
tutashuhudia
Miaka
mingi
ya
ushindi,
Zuri
anang'aa
Mmmmmmm
ni
Baraka
Kweli
wewe
ni
wa
Baraka
MUNGU
akulinde