Frobits
🎵 A song made on Frobits

Edo The DJ Anamsha

0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[female vocals] MARURANI

CHINI

TO

THE

MAP!

Twende!

Edo

The

DJ,

kwenye

mashine

anakiwasha

Bongo!

Tamu!

Kwenye

Sherehe

leo

kumewaka

moto

Edo

The

DJ,

anapiga

mziki

hadi

wazee

wanashamgilia

Kipaji

chake

ni

balaa,

watu

wanajigonga

na

mamorani

wanakoora.

Kwenye

sherehe

zote,

jina

lake

linavuma

ni

eduu

Hatuchoki,

hatulali,

ni

mwendo

wa

muziki

tu

Edo

The

DJ,

ndiye

fundi

wa

kila

dakika

Edo

The

DJ,

anamsha

sherehe

leo

Edo

The

DJ,

chezea

muziki

mbaya

mno

Kama

unataka

burudani,

mtafute

huyu

kijana

Edo

The

DJ,

namba

moja

kwenye

uwanja

Anapiga,

anachanganya,

watu

wanacheza

Edo

The

DJ,

ni

kiboko

ya

wenye

stress

Harusi,

kipaimara,

au

klabu

ya

usiku

pia

mbesii

anapiga

Edo

The

DJ,

anakupa

vibe

la

usiku

mzima

Namba

yake 0611673072,

piga

sasa

hivi

Usikubali

sherehe

yako

ipoe,

mtafute.

Kwenye

social

media

mcheki

kama

Deejay

Edorking.

Atakupa

burudani

isiyo

na

kipimo

Edo

The

DJ,

anamsha

sherehe

leo

Edo

The

DJ,

anacheza

na

mashine

ile

mbaya

mno.

Kama

unataka

burudani,

mtafute

huyu

kijana

Edo

The

DJ,

namba

moja

kwenye

uwanja

Anapiga,

anachanganya,

watu

wanacheza

Edo

The

DJ,

ni

kiboko

ya

wenye

stress

Twende!

Poah!

Ah

ah!

Edo

The

DJ

ni

balaa,

mziki

mtamu

unatiririka

Kila

mtu

anacheza,

kila

mtu

anafurahi

Kipaji

cha

kipekee,

usimuache

huyu

fundi

Kama

unahitaji

mziki

wa

masherehe

ya

nguvu

Edo

The

DJ,

anajua

kile

unachokihitaji

Hana

mpinzani,

kwenye

mix

yupo

vizuri

Unasubiri

nini?

Mpigie

simu

sasa

hivi

Edo

The

DJ,

anafanya

sherehe

inakuwa

ya

kipekee

Wageni

watafurahi,

kuta

zitacheza

na

muziki

Edo

The

DJ,

anamsha

sherehe

leo

Edo

The

DJ,

chezea

muziki

mbaya

mno

Kama

unataka

burudani,

mtafute

huyu

kijana

Edo

The

DJ,

namba

moja

kwenye

uwanja

Anapiga,

anachanganya,

watu

wanacheza

Edo

The

DJ,

ni

kiboko

ya

wenye

stress

Edo

The

DJ,

ni

hatari!

Deejay

Edorking,

Bongo

nzima

inajua

Twende,

piga 0611673072,

usichelewe

MARURANI

TO

THE

MAP

More songs by niccah Listen to songs created by others
FROBITS