[male
vocals] (
Ay!
Tap
tap,
rrr!)
Lachy
kwenye
mic,
big
man
ting
Mapenzi
yananitesa,
nakubali
Wanasema
mapenzi
uchizi,
mwenzako
silali
Nakosa
usingizi,
natamani
tuwe
wawili
Wanasema
mapenzi
so
easy,
eti
pesa
inatawala
Lakini
kwako
mrembo,
moyo
wangu
unawaka
kama
mshumaa
Tell
me
now
what
to
do,
minyororo
umenifunga
Mikufu
ya
mahaba,
kwenye
moyo
umepachika
Step
it
down
huku
juu,
me
pagawa
kwa
uzuri
Mtoto
mchuchu,
kwako
nimefika
kimbilio
Tap
tap
tap,
penzi
lako
naenjoy
tap
tap
Yeah,
tap
tap
tap,
kunogesha
penzi
letu
tap
tap
Tap
tap
tap,
najiamini
kuwa
nawe
tap
tap
Again,
tap
tap
tap,
I
do
it
for
the
love,
tap
tap
Usione
me
ninalia
for
the
woman,
mshenzi
kakimbia
Kisa
amekula
money,
hela
inavuruga
body
Mpaka
my
mind,
mchizi
navurugwa,
usinipe
wine
Nimezama
ndani
ya
bahari
ya
mahaba
yako,
it's
fine
Unanipaga
burudani,
umenibamba
sio
utani
Yamenipanda
maruhani,
kwako
nimepata
amani
Tap
tap
tap,
penzi
lako
naenjoy
tap
tap
Yeah,
tap
tap
tap,
kunogesha
penzi
letu
tap
tap
Tap
tap
tap,
najiamini
kuwa
nawe
tap
tap
Again,
tap
tap
tap,
I
do
it
for
the
love,
tap
tap
Nimezama
ndani
ya
bahari
ya
mahaba
yako,
it's
fine
Unanipaga
burudani,
umenibamba
sio
utani
Yamenipanda
maruhani,
kwako
nimepata
amani
Tap
tap
tap,
penzi
lako
naenjoy
tap
tap
Yeah,
tap
tap
tap,
kunogesha
penzi
letu
tap
tap
Tap
tap
tap,
najiamini
kuwa
nawe
tap
tap
Again,
tap
tap
tap,
I
do
it
for
the
love,
tap
tap (
Ay!
Tap
tap,
rrr!)
Lachy
kwenye
mic,
big
man
ting
Mapenzi
yananitesa,
nakubali