Kiongozi wa amani na umoja wa nchi yetu.
Wanaotaka kutuvuruga, Amani tuwakatae,
Wanaohubiri utulivu, tuwakumbatie kwa upendo!
Sisi wasaidizi na wananchi wote,
Tushikamane bega kwa bega na Amiri Jeshi Mkuu.
Tusiruhusu chuki kugawa nyumba yetu,
Amani na upendo ndiyo ngao yetu ya kweli.
Mama Samia Suluhu Hassan, mama wa amani!
Tanzania inasimama imara kwa umoja wako!
Tukatae mifarakano, tulinde nchi yetu,
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika!
Amani! Umoja! Upendo daima!
Kumbukeni Oktoba ishirini na tisa,
Iwe alama ya kulinda amani kwa wivu mkuu.
Viongozi wetu Samia, Nchimbi na Mwigulu,
Tunawaombea kwa Mungu muendelee kutuongoza kwa Amani.
Wazee wa mila, viongozi wa dini na wanasiasa,
Tuendelee kusema amani ndio msingi wa maisha yetu.
Tusameheane tulipo koseana sasa, tujenge nchi mpya,
Tanzania ni moja, hatugawanyiki kamwe!
Tanzania yetu, safi kabisa!
Rais mmoja, Amiri Jeshi Mkuu Samia!
Ahidi J. Sinene, naimba wimbo wa upendo!
Amani idumu, amina!