Speila, Speila
Mungu atujalie upendo udumu kati yetu
Siku moja tuje kuwa mume na mke
Kwa upande wangu naamini itakuwa hivyo.
Tupate kababy girl kazuri kama wewe mwenyewe
Nakupenda tu ndio neno nililobakiwa nalo
Sitachoka kusema nakupenda
Kwasababu nakupenda.