Eh, manze
Pole nikukosea
Ni samee, ni samee
Wewe wangu, nakuomba radhi leo
Nilishindwa, moyo uliniumiza sana
Sikutaka kukuhurumisha, lakini nilifanya
Mapenzi yetu ni muhimu, sitaki kupoteza
Kila siku nakumbuka vile tulikuwa
Tao tunazurura, kila mtu anajua
Wewe ni queen wangu, sitaki mwingine
Pole nikukosea beb, nisameheee
Pole nikukoseyaa, ni samee
Nasema samaaniii, ni samee
Wewe wanguuuuu, ni samee
Moyo wangu unalia, ni samee
Pole nikukoseyaa, ni samee
Nasema samaaniii, ni samee
Wewe wanguuuuu, ni samee
Manze naelewa nimekukasirisha vibaya
Lakini sitaki mapenzi yetu yaishie hivi
Wewe ni kitu cha thamani kwangu
Sitaki kukuona unalia kwa sababu yangu
Nataka turudi vile tulikuwa kitambo
Ukinisamehe, nitakuonyesha dunia
Ni wewe tu, hakuna mwingine
Beb please, nisameheee
Pole nikukoseyaa, ni samee
Nasema samaaniii, ni samee
Wewe wanguuuuu, ni samee
Moyo wangu unalia, ni samee
Pole nikukoseyaa, ni samee
Nasema samaaniii, ni samee
Wewe wanguuuuu, ni samee
Wewe wangu, ni samee
Manze pole sana, ni samee
Ah!