[solo lead vocal — no backing vocals, no harmonies, single vocal track only] Kaa
nami,
ni
usiku
tena;
Usiniache
gizani,
Bwana;
Msaada
wako
haukomi;
Nili
peke
yangu,
kaa
nami.
Siku
zetu
hazikawi
kwisha,
Sioni
la
kunifurahisha;
Hakuna
ambacho
hakikomi,
Usiye
na
mwisho
kaa
nami.
Nina
haja
nawe
kila
saa;
Sina
mwingine
wa
kunifaa;
Mimi
nitaongozwa
na
nani
Ila
wewe?
Bwana,
kaa
name.
Sichi
neno
uwapo
karibu;
Nipatalo
lote,
si
taabu;
Kifo
na
kaburi
haviumi;
Nitashinda
kwako,
kaa
nami.
Nilalapo
nikuone
wewe,
Gizani
mote
nimulikiwe;
Nuru
za
mbinguni
hazikomi,
Siku
zangu
zote
kaa
nami.