Start with (FULL GOSPEL CHURCH NAYANAE ANGIKALALIO)
chorus
Ninashukuru, Ninashukuru, baba hakuna kama wewex2
Verse
Unanipigania,katika vita vyangu,unanipitisha kwenye moto,Kisha ninatoka nimeng'ara hakuna kama wewe
Verse 2
Nikiwa kwenye shida unanitoa,nikilemewa na dhambi unaniokoa,nikiwa Kwa maji unani vusha,hakuna kama wewe,
Verse 3
Wewe ni Mungu WANGU,mwokozi WA MAISHA ninayoishi,NGUVU ya roho yangu hakuna kama wewe.