Halleluya!
Halleluya!
Mungu
ni
mwema
kwa
mashujaa
Mungu
kwa
hatua
hii
kuu
Senye
Junior
School
tunasherehekea
Grade
Nine
mashujaa
wetu
mmesimama
imara
Kwa
neema
ya
Baba
ushindi
ni
wenu
kwa
imani
na
nguvu
nyingi
Halleluya,
Senye
Grade
Nine
Heroes
Mashujaa!
Mungu
amewabariki,
Kila
hatua
yenu
imeongozwa
na
neema
ya
Piga
makofi,
mshukuruni
Mungu
wetu
leo!
Amen,
Amen!
Kupitia
masomo
na
majaribu
mengi
njiani
Mkono
wa
Bwana
ulikuwa
nanyi
Walimu
na
wazazi
tunajivunia
nanyi
Wewe
ni
shujaa,
nenda
ukaangaze
ulimwenguni
Nuru
ya
Kristo
iongoze
Halleluya,
Senye
Grade
Nine
Heroes
Mashujaa!
Mungu
amewabariki,
Kila
hatua
yenu
imeongozwa
na
neema
ya
Bwana
Piga
makofi,
mshukuruni
Leo
nawavulia
kofia
Mimi
mwalimu
wenu
Rogers
Nyamongo,mmekuwa
Wa
maana
sana
katika
hii
safari
ya
masomo.Juhudi
zenu
zitaleta
matunda.mimi
naamini
atafutaye
hachoki
ndo
sababu
nawaomba
mtie
bidii
ya
Walimu
na
wazazi
wanawatumainia
sana,Fanya
bidii
Kuna
matunda
hapo
kesho.sina
budi
kuwaaga
kwasababu
muda
umenipa
kisogo.
Nendeni
kwa
amani,
mashujaa
wa
Senye
Mungu
awabariki
sana
kila
mahali
Amen,
Amen!