Frobits
🎵 A song made on Frobits

Nataka Rhumba (Remix)

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Ni mwarabu kwenye hii tena naimbaaa..
maisha haya ya sasa bila mifumo nakwambia utaganda aisee let's wake up together
Natoa ngoma hii kwa hisia tusikate tamaa siku za maisha zisije zikaganda aisee
Maisha ni magumu bila kuchoka napambana,
Nataka kusimama, ila naona viatu vinabana
Dumu, dumu, ila poa tu, sir God ata bless ipo day Hadithi yangu ni ngumu hata kichwani haikai kabisa aisee Ningeweza kuibadili ila kama normal text ukituma imeisha hiyo,
Dunia ina mifumo kama hesabu za four figure kama huna ni kwamba utafeli?⁰ aah sio kweli is just a blessing tu
Papa God bless us, kama wale maisha yao mbona sana tu
Kila saa ninapenda kupiga kazi ila mmh naona bado
Sir God bless us, kama wale maisha yao mbona safi
Kila saa ninapenda kupiga ,
Ayee, poa tu,
Ayee, poa tu! Mmh
Kila jua likichomoza naona bahati mpya na wenda mambo yatakaa ifikapo magharibi ni huzuni kila kitu kimekataa
Mimi ni mtoto wa kwanza nashangaa nakuwa wa mwisho au ndio kama wahenga wa kwanza anakuwaga wa mwisho, papa God nijaribu na mengine maana ufukara umenichosha sana,
Kupenda kuzunguka sio kweli ni kutafuta wapi nitatoka sio mbaya najikaza nisije anguka
Hakuna sisi tutakaotaka maandamano, tufanye kazi watu waandamane kuomba posho nakuita tajiri umepoa
ngoma hii ikutie moyo mwenzangu na mimi usilale we amka tu alfajiri, ni mwendo wa kuzisaka hakuna kukariri
pamoja tutafika mahali roho itapona kwa raha
Papa God bless us, kama wale maisha yao mbona sana tu
Kila saa ninapenda kupiga kazi ila mmh naona bado
Sir God bless us, kama wale maisha yao mbona safi
Kila saa ninapenda kupiga kazi kazi kazi na mbona poa tu
hii sio ndoto tu Ni kile kile nilichotaka kila saa
Ngoma inanipa moyo Na hali ya kusimama tena kama wolf warriors
Ulibariki wale kwa juhudi zao papa God
Please tuna juhudi pia na sisi huu uwe mwaka wetu Isiwe ndoto za mchana coz sisi wote waja wako sir God
Thanks God for everything I'm done
Usisubiri waseme walisema keep going, keep pushing

More songs by Bonny Listen to songs created by others
FROBITS