Frobits
🎵 A song made on Frobits

Adasa, Mon Amour

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

[male

vocals] (

Oh,

yeah)

Adasa,

mon

amour

Nataka

nicheze

kwa

ajili

yako

Wewe

ni

mke

mzuri

zaidi

ibarikiwe

siku

yako

ya

kuzaliwa,

Qui

grandit

en

moi,

jour

après

jour

Huu

wimbo

ubaki

moyoni

mwako

kama

kumbukumbu,

nakosa

niku

fananishe

nanani

lakini

naona

una

ni

fanana

mimi

Je

veux

danser

avec

toi

jusqu'à

l'aube

Laisser

la

musique

envelopper

nos

robes

Kuzaliwa

ume

zaliwa

kwaajili

yangu,

ku

umbiwa

ume

umbiwa

kwaajili

yangu

ili

tufanye

kazi

ya

Mungu

mzima

pamoja,

wewe

ni

muimbaji

umejitoa

kwa

kazi

ya

Mungu

mzima,

Chaque

seconde

avec

toi,

je

suis

comblé

Adasa,

kipenzi,

nataka

leo

nicheze

kwa

ajili

yako

mwenyewe,

iyi

yote

inaonyesha

kwamba

tuko

wapendanao,

Nifanye

nini

tena

jamani

kwako,

huu

wimbo

ubaki

moyoni

mwako

kama

kumbukumbu,

Adasa,

mon

amour,

suis

pour

vous

nataka

leo

nicheze

kwa

ajili

yako

mwenyewe,

najua

wewe

uko

mbali

sana

nami

upo

owicha

lakini

huu

wimbo

una

tuunganisha

pmoja,

Laisse

le

monde

s'effacer,

il

n'y

a

que

nous

Sauti

yako

ni

nzuri

sana

ukiimba

pamoja

nami

najisikia

vizuri

naona

mungu

hakufanya

kosa

kufanya

uwe

wangu,

Je

n'ai

besoin

de

rien

d'autre

que

ta

présence

Pour

oublier

mes

peurs

et

mon

silence

Sina

haja

ya

wengine

nime

kuchagua

nime

badilika

ume

ugeuza

moyo

wangu

upendo

umezidi

kwako

naona

kama

hakuna

mwengine

kama

wewe,

Mon

âme

t'appelle,

et

tout

mon

être

tremble

Jina

yako

nime

andika

moyoni,

La

seule

étoile

qui

me

fait

encore

sourire

Adasa,

kipenzi,

nataka

leo

nicheze

kwa

ajili

yako

mwenyewe,

iyi

yote

inaonyesha

kwamba

tuko

wapendanao,

nifanye

nini

tena

jamani

kwako,

huu

wimbo

ubaki

moyoni

mwako

kama

kumbukumbu,

Adasa,

mon

amour,

suis

pour

vous

nataka

leo

nicheze

kwa

ajili

yako

mwenyewe

najua

wewe

uko

mbali

sana

nami

upo

owicha

lakini

huu

wimbo

una

tuunganisha

pmoja,

Laisse

le

monde

s'effacer,

il

n'y

a

que

nous (

Vizuri,

kweli

kupendwa

vizuri)

Nyota

za

angani

zina

tuangazia

mvua

wa

mbingu

ina

tunyeshea

alama

ya

baraka

ya

mafanikio

kwetu

wawili,

Adasa,

dis-moi

que

c'est

pour

l'éternité

nime

ku

ahidi

mema,

zaidi

na

Kristo

aliye

hai

ame

tu

ahidi

mema,

Que

nos

cœurs

resteront

à

jamais

liés

Adasa,

kipenzi,

nataka

leo

nicheze

kwa

ajili

yako

mwenyewe,

Iyi

yote

inaonyesha

kwamba

tuko

wapendanao,

nifanye

nini

tena

jamani

kwako,

tucheze

oooooh

la

zouk

kompa

nasikia

raha

kupendwa

nawewe,

tucheze

oooooh

nasikia

raha

kupendwa

nawewe,

cheza

nione

unavyo

cheza,

cheza

nione

unavyo

cheza,

raha

raha

kupendwa

nawewe

jamani

ni

raha,

raha

raha

kupendwa

nawewe

jamani

ni

raha,

Adasa,

mon

amour,

je

suis

tout

à

vous,

watu

wote

wa

shangilie

upendo

wangu

mimi

nawe

mpaka

mwisho

chérie

Adasa,

danse

avec

moi

Encore

une

fois,

juste

toi

et

moi

Adasa,

mon

amour,

Baraka

na

onesha

upendo

halisi

ya

ndani

ya

moyo

wangu

kwako,

Nataka

nicheze

kwa

ajili

yako

More songs by baraka Listen to songs created by others
FROBITS