Frobits
🎵 A song made on Frobits

Mkoa Arusha Ni Wetu Sote

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

*MKOA ARUSHA NI WETU SOTE*
Mkoa Arusha ni wetu sote
Tuungane kuujenga (aaah!)
Mkoa Arusha ni wetu sote
Tuungane kuujenga (aaah!)
Dira ya maendeleo
Ishirini hamsini
Tunafanya kwa vitendo
Sote tunasonga mbele
Kwa upande wa taaluma
Huko tunasonga mbele
Kwa upande wa michezo
Nako haturudi nyuma
Arusha mkoa wetu
Tuungane kuujenga
Mkoa Arusha ni wetu sote
Tuungane kuujenga (aaah!)
Mkoa Arusha ni wetu sote
Tuungane kuujenga (aaah!)
Kwa upande utalii
Huko tunafanya vema
Kwa upande wa michezoga
Pia tunasonga mbele
AFCON inakuja
Ishirini ishinasaba
Arusha yamelemeta
Tuungane kuijenga
Kwa upande utalii
Huko tunafanya vema
Kwa upande wa michezoga
Pia tunasonga mbele
AFCON inakuja
Ishirini ishinasaba
Arusha yamelemeta
Tuungane kuijenga
Kule Longido (Tunasonga mbele)
Na Ngorongoro (Tunasonga mbele)
Vipi Monduli (Tunasonga mbele)
Hata karatu (tunasonga mbele)
Jiji la Arusha (tunasonga mbele)
Pale Arumeru (Arusha disii na Meru tunasonga mbele)
Kule Longido (Tunasonga mbele)
Na Ngorongoro (Tunasonga mbele)
Vipi Monduli (Tunasonga mbele)
Hata karatu (tunasonga mbele)
Jiji la Arusha (tunasonga mbele)
Pale Arumeru (Arusha disii na Meru tunasonga mbele)
Mkoa Arusha ni wetu sote
Tuungane kuujenga (aaah!)
Mkoa Arusha ni wetu sote
Tuungane kuujenga (aaah!)
Tunasonga mbele (Haturudi nyuma)
Kwenye michezo
Tunasonga mbele (Haturudi nyuma)
Kitaaluma
Tunasonga mbele (Haturudi nyuma)
Utalii wetu
Tunasonga mbele (Haturudi nyuma)
Kwenye uchumi
Tunasonga mbele (Haturudi nyuma)
Kwenye kilimo
Tunasonga mbele (Haturudi nyuma)
Kwenye mipango
Tunasonga mbele (Haturudi nyuma)
Sanaa na utamaduni
Tunasonga mbele (Haturudi nyuma)
Mkoa Arusha ni wetu sote
Tuungane kuujenga (aaah!)
Mkoa Arusha ni wetu sote
Tuungane kuujenga (aaah!)

More songs by Mwl. Listen to songs created by others
FROBITS