Jaman,
Sikiliza
hii
burudani
ya
heshima.
Mbomipa
yetu,
fahari
ya
nchi
yetu.
Karibuni
wote,
Kaiza
yupo
hapa.
Tunza
wanyama
wetu,
ndio
urithi
wetu
sote.
Tembo,
simba,
na
nyati,
ni
mali
ya
taifa
letu.
Usiharibu
mazingira,
linda
kila
kiumbe
pori.
Kaiza
anasema,
tujivunie
maliasili
tuliyo
nayo.
Vijana
wote
tushikane,
kulinda
hifadhi
zetu.
Maajabu
yamejaa,
kila
kona
ya
ardhi
hii.
Mbomipa
inang'ara,
tunafurahia
matunda
yake.
Shule
zinajengwa,
watoto
wetu
wanapata
elimu.
Afya
imeboreka,
zahanati
zinasimama
imara.
Maji
safi
yanatiririka,
kijijini
maisha
yanabadilika.
Mbomipa,
tunaendelea
mbele,
hatua
kwa
hatua.
Karibu
mgeni,
uje
uone
maajabu
ya
asili.
Mito
inapita,
milima
mirefu
inaonyesha
mwanga.
Utalii
ni
kipato,
tunajenga
uchumi
wa
kijiji.
Wananchi
wanaona
maendeleo,
kila
nyumba
inatabasamu.
Vijiji
vinanufaika,
fedha
za
jumuiya
zinafanya
kazi.
Hakuna
tena
shida,
maendeleo
yameshafika
kwetu.
Mbomipa
inang'ara,
tunafurahia
matunda
yake.
Shule
zinajengwa,
watoto
wetu
wanapata
elimu.
Afya
imeboreka,
zahanati
zinasimama
imara.
Maji
safi
yanatiririka,
kijijini
maisha
yanabadilika.
Mbomipa,
tunaendelea
mbele,
hatua
kwa
hatua.
Viongozi
wetu
mmetenda,
hongera
kwa
mlipofikia.
Kazi
yenu
inaonekana,
wananchi
wanashangilia.
Endeleeni
kuongoza,
mwanga
huu
usizime
kamwe.
Sote
tunapongeza,
juhudi
hizi
zina
mashiko.
Tujenge
umoja,
maendeleo
yanakuja
kwa
kasi.
Kutoka
kijiji
kimoja
hadi
kingine,
neema
imeenea.
Mazingira
ni
rafiki,
wanyama
wako
salama.
Serikali
inatazama,
akishuhudia
mabadiliko
haya.
Sote
tunafaika,
Mbomipa
ndio
mkombozi
wetu.
Twende
na
wakati,
tujitume
kwa
bidii.
Jumuiya
ina
nguvu,
umoja
wetu
ndio
ushindi.
Mbomipa
inang'ara,
tunafurahia
matunda
yake.
Shule
zinajengwa,
watoto
wetu
wanapata
elimu.
Afya
imeboreka,
zahanati
zinasimama
imara.
Maji
safi
yanatiririka,
kijijini
maisha
yanabadilika.
Mbomipa,
tunaendelea
mbele,
hatua
kwa
hatua.
Mbomipa
ni
yetu,
tunaitunza
kwa
upendo.
Wananchiwanasema,
kazi
iendelee
bila
kukoma.
Asante
kwa
wote,
maajabu
haya
hayatafutika.
Mbomipa
hoyee!
Kaiza
yupo!