Mmh (Mambo vipi, kaka?) Poa! (Twende!)
It's your birthday let's enjoy together
Jua linachomoza, siku mpya imeanza
Marafiki wote, sasa tupo pamoja, tukicheza kwa furaha ya kuzaliwa ndugu yetu FANUEL
Beat inapanda, mioyo unacheka kwa furaha ya leo
Asante wazazi wa Fanu leo tunaimba, tutacheza kwajili yake happy birthday Fanu
Twende pamoja, mikono juu, wote tuimbe!
Furaha yetu, hakuna mfano, tunafurahi leo
Special day kwako fanu, tunapiga kelele za shangwe mwarabu nakuombea heri fanu
Kwa marafiki zangu, huu upendo kweli, eeh mmh!
Mkwajuni songwe, kote tunafika, bila hofu
Tabasamu usoni, hatuna wasiwasi, maisha popote
Mziki unaongea, roho inasikia, inafurahia
Siku yako wote, leo tunaweka kando shida na tuna dance pamoja
Twende pamoja, mikono juu, wote tuimbe!
Furaha yetu, hakuna mfano, tunafurahia siku yako ndugu yetu fanu enjoy leo life is too short brother
Kwa marafiki zangu, huu ni wimbo tucheze na tuimbe wote happy birthday fanu
Ni bahati kuona siku ya mfano wa kuzaliwa kila mwaka ni neema za mungu mungu atubariki woote kwa imani tutafurahi tena mwakani
Ukisikia shangwe ujue fanu kazaliwa leo
Ni mwarabu kwenye hii tena Asanteeee