(Eeh wananchi Twende!)tusherekee ubingwa
Yanga kwanza, wengine baadae!
Kila mmoja mikono juu! Daima mbele nyuma mwiko
Daima mbele nyuma mwiko
Kwenye uwanja tunatawala, hakuna wa kuzuia
Jangwani kumenoga sana, shangwe zimeenea
Mpira safi, magoli mengi, tunashinda bila wasiwasi Aibu wataona wao kiko wapi
Wananchi wanafurahi, hii ndiyo nguvu ya jamii na wananchi yanga yangu moyoni mwangu Daima mbele hakuna poa mpaka tuseme baasi, GSM Tajiri thanks for everything mwamba Hersi said, hapa Arafat aaah mtamwambia nini Kamwe ubingwa tunao jangwani
Yanga bingwa! Mabingwa wa nchi!
Kijani na njano, rangi ya ushindi!
Yanga bingwa! Hatushikiki kabisa!
Sisi ndio mabingwa, kila kona tunasifika!
Daima mbele nyuma mwiko wananchi raha raha tu wote tuimbe oooh oooh ooh
Kariakoo imesimama, nchi nzima inatetema
Wapinzani wanalia, hawana la kusema
Kila mechi ni burudani, tunacheza kwa upendo
Kombe letu tena mwaka huu, tuko juu pale wapinzani hii ni ya tano na bado tupo on fire sisi ndio mabingwa kuna nini tena kwani pale kwa wale wavimba macho, mistupigie makofi mtachoka mikono itauma wananchi huu ni wa tano mpaka wa kumi sijui mtasema nini Wapinzani kwetu raha burudani
Yanga bingwa! Mabingwa wa nchi!
Kijani na njano, rangi ya ushindi!
Yanga bingwa! Hatushikiki kabisa!
Sisi ndio mabingwa, kila kona tunasifika!
Daima mbele nyuma mwiko wananchi raha raha tu wote tuimbe oooh oooh ooh
Daima mbele, nyuma mwiko!
Yanga bingwa, wananchi hii ni yetu sote
Daima mbele nyuma mwiko
Daima mbele nyuma mwiko
Asante wananchi 2026 na bado tunaendelea