Frobits
🎵 A song made on Frobits

Afrobits Freestyle (Remix)

0:000:00
Download
Make your own song
Lyrics

Mh! Mh! Mh! All I have is you my paschasius mmmmmmh, love is the beautiful thing hubby Nakupenda sana mume wangu paschasius, wewe umekuwa Bora sana kwangu, naomba ubaki na mimi siku zote na macho Yako yasiangalie wanawake wengine maana unajua vile nakupenda umenichagua kuwa tulizo la moyo wako NAMI nimekubali tupendane kama maji na samaki nikuite hani nawe uniite sweethati.
Wewe ni nguzo yangu, wewe ni chumvi yangu, ukikosekana kwangu mimi na watoto wetu tunakosa radha ya maisha, maana wewe ni nguzo ya familia wewe ni baba wa watoto wetu, wewe ni tulizo la moyo wangu, nguzo ya upendo wetu, maisha yangu nataka niishi na wewe mkeo tedy nakupenda sana.
Oooh na na na na Nakupenda sana mume wangu paschasius......,... Oohh ye ye ye nakupenda oooooooh o o o oh na na kamoyo kwangu to TI TI TI kwako paschasius ooooh ooh ooooh yeye ye ye ye ye
TI TI TI

More songs by God Listen to songs created by others
FROBITS