Sijui Bwana umefanya fanya fanya Je
Ninayosababu ya Ku kushukuru Yesuuu
Hapa tulipo kwa neema yakooo
Umefuta machozi kwenye macho yanguuu hata sasa wewe ni Ebenezer
Cros
Asante yesu
Asante yesu
Asante yesu
Asante kwa wema wako*2
Umeangusha maadui zangu wote Bwanaa
Vita vyangu umevibeba wewe Yesu
Hata hapo sijui umefanya fanya fanya Je Asante Yesu