Tanzania yangu, Tanzania yangu!
Juu, juu, juu!
Nchi yangu Tanzania, nzuri sana
Tanzania yangu, ndoto yangu
Kilimanjaro juu, juu sana
Zanzibar pweza, bahari inayong'ara
Dar es Salaam, mji wenye kila kitu
Mambo vipi,Habari yako,mwakeye amambo kinehe sisi tunajua amani mwangaluka ndugu zangu wabungu monauni aah Tanzania ni raha
Ugali na pilau, nyumbani kwetu
Bongo hatunyimani vyakula tunandika historia kila wakati karibuni Tanzania
Juu ya Tanzania, juu juu!
Fahari yangu, upendo wangu!
Juu ya Tanzania, juu juu!
Twende pamoja, sisi ndio nguvu!
Kariakoo nights, lights zinang'ara
Mitaa yenye swag, sinza njoo mwanjerwa style yetu utaipenda Tanzania
Wazee wanasema, jamii ni nguvu
Tanzania ni tunu, manzari nzuri
Ngoma na muziki wetu ooh ni hatari, ndoto za wengi ni kulinda amani isiwe ooh Generation Z yakawa kama yale October hapana
Safi, safi, tumeanza upya Tanzania yetu
Baada ya yote tuijenge Tanzania ni kila kitu
Now we rise, tunang'aa kama lulu
Juu ya Tanzania, juu juu!
Fahari yangu, upendo wangu!
Juu ya Tanzania, juu juu!
Twende pamoja, sisi ndio nguvu!
Eeh Tanzania, Tanzania
Zanzibar, Dodoma, Dar!city
Kilimanjaro,arusha nyumbani kwetu kigoma!
Sisi ni bongoland, sisi ni wamoja! We don't need to fight eti kisa itikadi
Juu ya Tanzania, juu!
Tanzania yangu, eeh!
Ni Mwarabu kwenye hii tena