Yo! Sir Nixy on the beat, manze!
Kanairo!
Hii ni ya Wambo,yule dem tings!
Nilimuona pale Kenya Law Reform
Vuku vuku!
Kula mori,cheza ruka
Wambo!
Nairobi nzima inajua!
Form ni gani?,Ebu skia!
Huyu ni Wambo,mtoto wa Nairobi
Mrembo wa mtaa,hana mambo ya dharau.
She's beauty with brains,akili imesimama
Wambo akipita,kila mtu anasita!
Haringi,anajua,yeye ni friendly,
Huyu ndio yule msupa,all eyes on her!
Amebeba sura ya malaika,tabasamu safi,
Kila mwanzo wa mwezi hadi mwisho wa mwaka.
Wambo hana kiburi,yeye hucheka na wote,
Haringi hata siku moja,anajua siri ya vyote.
Moderate figure,imeshika ki-pro
Si mnono,si mwembamba,amejipanga bro!
Kila corner ya jiji macho yote iko kwake,
Wambo ndio standard,piga kofi kwake!
Huyu ni Wambo,mtoto wa Nairobi,
Mrembo wa mtaa,hana mambo ya dharau.
She's beauty with brains,akili imesimama,
Wambo akipita,kila mtu anasita!
Haringi,anajua,yeye ni friendly,
Huyu ndio yule msupa,all eyes on her!
Msomi wa nguvu,vitabu anavijua,
Masters mkononi,akili inatambua.
Si yule wa kudanganywa na story za jaba,
Wambo ana akili,anajua hesabu za kijanja
Anajua kuvaa,anajua kujipanga,
Urembo na akili,hapa hakuna mganga.
Urafiki nayo? ameshika namba wani,
Wambo ndio ule msupa wa maana mtaani!
Eh, Wamboi!
Wambo wa Nairobi!
Haringi!
Beauty with brains
All eyes on you,msupa!
Cheza kama wewe!
Sir Nixy out!