Ray skeedo
Uhai ni gharama
Tuishi kwa umakini
Kuna magonjwa mengi saana
Mungu tulinde
Tufungulie ...tuweke huru
Mungu tulinde
Ni mbali tunako Toka
Na ni mbali tunako kwenda
Tuepushie maradhi homa za mara kwa mara
Kucha kutwa hospitalini
Sijamuona wakunilinda mimi
Sina wakumweleze shida zangu ila wewe baba
(Chorus)
Tutapigana vita vyote ila si vita vya kiroho
Nimeamini Kuna giza na mwanga
Tutapigana vita vyote ila si vita vya kiroho
Nimeamini Kuna giza na mwanga
(Verse)
Nimejaribu kutafta amani sipati
Nimejaribu kulewa silewi nashindwa
Majonzi ninayopitia
Hakuna tiba itakayo funika
Nionyeshe uwepo wako baba
Nimevumilia ila nimefika mwisho
Nishikilie
Nisipotee
Niweke huru baba
Nijitetee
Mungu wangu..Mungu wa miungu yote
Sema nami
(Chorus)
Tutapigana vita vyote ila si vita vya kiroho
Nimeamini Kuna giza na mwanga
Tutapigana vita vyote ila si vita vya kiroho
Nimeamini Kuna giza na mwanga
(Verse)
Utukufu wako na uje
Wacha mema yatendeke kote
Let your holly spirit lead my way
Help those in hospitals
Help those in the streets
Let your will be done ooh lord
For there's none above you Lord
We perish but you will forever be
Wewe ni Mungu wa ajabu
Tenda kwa mapenzi Yako
Nifanye niwe chombo kipya
Nishikilie nisipotee ooh lord
(Chorus)
Tutapigana vita vyote ila si vita vya kiroho
Nimeamini Kuna giza na mwanga
Tutapigana vita vyote ila si vita vya kiroho
Nimeamini Kuna giza na mwanga
Utukufu daima
Ray skeedo