Twende!
Bwana
Yesu
ni
mkuu!
Ah
ah!
Neema
yake
inatosha!
Mama
mjamzito,
saa
yake
ikifika
Huona
utungu,
huzuni
na
taabu
Lakini
mara,
akisha
jifungua
Hujawa
na
furaha,
amepata
mtoto
Yule
mtoto
aliyezaliwa
Ni
kiumbe
kipya
hapa
duniani
Hafananishwi
na
mtu
Maana
ni
maalum
kutoka
kwa
Mungu
Napendwa
sana
na
Bwana
Yesu
Neema
yake
imeniinua
Napendwa
sana
na
Bwana
Yesu
Jina
langu
limeandikwa
mbinguni
NeemaTamu
sana!
Ah
ah!
Na
ndivyo
Bwana
Yesu,
ili
atuokoe
Aliteseka
sana,
kafa
msalabani
Lakini
siku
ile,
alipofufuka
Alikamilisha
kazi
ya
ukombozi
wetu
Katuzaa
upya,
kwa
neema
yake
Tumo
ndani
yake,
ni
viumbe
vipya
Ya
kale
yamepita
Tazama
yamekua
mapya
Napendwa
sana
na
Bwana
Yesu
Neema
yake
imeniinua
Napendwa
sana
na
Bwana
Yesu
Jina
langu
limeandikwa
mbinguni
Poa!
Twende!
Mambo!
Amenijaza
na
Roho
wake
Kanifanya
mwana
na
mrithi
wake
Sina
hofu,
yeye
yu
pamoja
nami
Katika
kila
hatua,
ananiongoza
Siwezi
kurudi
nyuma,
nimeokoka
Natembea
nuruni,
naona
wokovu
Sifa
na
utukufu,
namrudishia
yeye
Aliyenitoa
gizani,
akaniweka
nuruni
Yesu
wangu,
wewe
ni
mwamba
Yesu
wangu,
wewe
ni
kimbilio
Napendwa
sana
na
Bwana
Yesu
Neema
yake
imeniinua
Napendwa
sana
na
Bwana
Yesu
Jina
langu
limeandikwa
mbinguni
Napendwa
sana,
napendwa
kweli
Yesu
ni
mwema,
Yesu
ni
bwana
Tamu
sana!
Bongo!
Twende!
Ni
viumbe
vipya,
ndani
ya
Yesu.