[female vocals] Nananaaa
eeeheeh
King
Mbenaaa,
naskiza
King
Mbenaaa,
nakuletea
hii
Safi
sana,
twende
Wanao
kudhuru
hawatoki
mbali
Ni
hao
ndugu
wa
karibu
Watakao
kudhuru
hawatoki
mbali
Ni
hao
jamaa
wa
karibu
Hawakumbuki
mwanzo
wa
safari
Walikuombea
weeeeeeee
Walikuwekea
mikono
huku
wakikuombea
Wakakutakia
na
heri
kwamba
Uende
salama
ukafanikiwe
Ni
hao
haoo
wamebadilika
Ni
hao
haoo
wako
kinyume
nawe
Ni
hao
haoo
wamebadilika
Hawataki
ufanikiwe
Hawakumbuki
mwanzo
wa
safari
Walikuombea
weeeeeeee
Walikuwekea
mikono
huku
wakikuombea
Wakakutakia
na
heri
kwamba
Uende
salama
ukafanikiwe
Mungu
alivo
kuonyesha
mwanga
Japo
kidogo
wa
mafanikio
Mungu
alivo
kuwashia
taa
Japo
kidogo
upate
riziki
Wameinuka
wamechachamaa
Wameinuka
hawakuelewi
King
Mbena
usijali
Mungu
anakuona
Eeh
baba!
Safi!
King
Mbena,
twende
Bongo!
Maisha
yanaendelea