Frobits
🎵 A song made on Frobits

Lango la Mbinguni

0:000:00
Download
Make your own song
Lyrics

[male

vocals] 1.

Liko

lango

moja

wazi,

Ni

lango

la

mbinguni;

Na

wote

waingiao

Watapata

nafasi.

Lango

ndiye

Yesu

Bwana

Wote

waingie

kwake,

Lango!

Lango

La

Mbinguni

ni

wazi. 2.

Yesu

ndiye

lango

hili,

Hata

sasa

ni

wazi,

Kwa

wakubwa

na

wadogo,

Tajiri

na

maskini. 3.

Hili

ni

lango

la

raha,

Ni

lango

la

rehema;

Kila

mtu

apitaye

Hana

majonzi

tena. 4.

Tukipita

lango

hili

Tutatua

mizigo,

Tuliochukua

kwanza,

Tutavikwa

uzima. 5.

Hima

ndugu

tuingie

Lango

halijafungwa,

Likifungwa

mara

moja

Halitafunguliwa.

More songs by PJMExpress Listen to songs created by others
FROBITS