Nimo ndani ya Yesuu, ninayo furahaaa!
Nimo ndani ya Yesuuu!! Ninao uzimaaa!
Nimo ndani ya Yesuu, ninayo furahaaa!
Nimo ndani ya Yesuuu!! Ninao uzimaaa!
Nimo ndaniii! Nimo ndaniii!
Nimo ndani ya Yesuuuu, ninao uzimaa!
Ukitembea na Yesuu, unabarikiwaaa
Ukitembea na Yesuuu, wapata neemaaa
Oooh nipo ndani, nimo ndani ya Yesuu, ninao uzimaa
Ukimpata Yesuu! Yakale yanapitaa
Hakika! Nimo ndani ya Yesuu, ninayo furahaaa
Nimo ndani ya Yesuu, ninayo furahaaa!
Nimo ndani ya Yesuuu!! Ninao uzimaaa!
Ukimpata Yesuuu, umepata yoteee!
Yaliyobiwaa, utarudishiwaaa
Ukiwa ndani ya Yesuu, utarejeshewaaa
Omba kibali kwa Yesuu, upate Uzimaa
Omba kibali kwa Yesuu, uzaliwe upyaa
Nimo ndani ya Yesuu, ninayo furahaaa!
Nimo ndani ya Yesuuu!! Ninao uzimaaa!
Nani zaidi ya Yesuu, chini ya Juaaa
Nani kama Yesuu, Katika Duniaaa
Nimo ndani ya Yesuu, ninayo furahaaa!
Nimo ndani ya Yesuuu!! Ninao uzimaaa!
Oooooh, Oooooh
Hakika Kwa Yesu kuna Furaha
Kuna Baraka
Kuna Amani Tele
Kuna Uzima Mpya
Kuna Neema na Rehema za Kuzidi
Basi sifa na utukufu vinarudi kwako Bwana
Ooooooh! Oooooh! Ooooooh
Nimo ndani ya Yesuu, ninayo furahaaa!
Nimo ndani ya Yesuuu!! Ninao uzimaaa!
Yesu! Yesu! Yesu! Yesu! Nitakase Baba!