[female vocals] Nasifia
Abigael
sifuna
kutoka
Bungoma.
Ni
msichana
anayecheza
kama
kiungo
mshambulizi.
Amesomea
shule
ya
Andersen.
Wazazi
wake
wamekuwa
wakimhimiza
acheze
mpira.
Mama
yake
ambaye
pia
alikuwa
mchezaji
hodari
anaitwa
kleya
sifuna
na
baba
yake
ni
maikol
sifuna.
Anawapongeza
walimu
wa
shule
ya
Andersen
kwa
kumkuza
kitabia,
kielimu
na
kimichezo
haswa
sana
mkuu
wa
shule
Simon
watenga,
Ken
na
Waf.
Abigael
sifuna
ambaye
jina
la
utani "
kaireto"
ni
mwenye
nguvu
nyingi
na
mwili
mkubwa
ambao
umemzaidia
kufunga
magoli
mengi
na
kuwapa
wapinzani
chenga.
Ana
ndoto
ya
kuchezea
mojawapo
ya
vyuo
vikuu