[male vocals] Verse 1.
Leo
ni
furaha
kubwa
kwetu,
Tunamshukuru
Mungu
kwa
hatua
hii,
Tunasema
ahsante
Mungu
Baba,
Kwaajili
yetu
sisi
Lonanna
na
Nathan,
kwa
kubarikiwa
na
kuwa
Wakristo
kamili,
Eeh
Mungu
tunasema
ahsante
kwa
baraka
hii
ya
kipaimara,
Chorus:
Ahsante
Mungu,
ahsante
wazazi
wetu
kwa
kutulea
vema,
tutayashika
mafundisho
matakatifu,
na
kuwa
mfano
wa
kuigwa.
Chorus:
Ahsante
Mungu,
ahsante
wazazi
wetu
kwa
kutulea
vema,
tutayashika
mafundisho
matakatifu,
na
kuwa
mfano
wa
kuigwa.
Verse 2.
Wazazi
mmetulea
katika
njia
tena
ile
itupasayo,
Nasi
hatutaiacha
hata
tutakapokuwa
wazee,
Leo
tunasherekea
kwa
ndelemo
na
vifujo,
tuimbe
na
tucheze
kwa
furaha
na
vigeregere,
Ahsante
Yesu
kwa
siku
ya
leo
kipaimara
ni
baraka