[male vocals] Alleluia
Ee
Mungu
wangu,
pokea
sifa
zangu
leo.
Ee
Mungu
unirehemu,
sawasawa
na
fadhili
zako,
Kiasi
cha
wingi
wa
rehema
zako,
uyafute
makosa
yangu.
Unioshe
kabisa
na
uovu
wangu,
unitakase
dhambi,
Maana
nimejua
makosa
yangu,
na
dhambi
yangu
iko
mbele
yako
daima.
Nimekutenda
dhambi
MUNGU
wangu,
Wewe
ujulikane
una
haki
unenapo,
utoapo
hukumu
zako.
Ee
Mungu,
uniumbie
moyo
safi,
Uifanye
upya
roho
iliyotulia
ndani
yangu.
Usinitenge
na
uso
wako,
wala
Roho
Mtakatifu
usiniondolee,
Unirudishie
furaha
ya
wokovu
wako,
unitegemeze
kwa
roho
ya
wepesi.
Tazama
mimi
nakuabudu
wewe
ndiye
MUNGU
wangu
Nguvu
zangu
mwamba
wangu
Tena
Wewe
wapendezwa
na
kweli
iliyo
moyoni,
Nawe
utanijulisha
hekima
kwa
siri,
nisafishe
kwa
hisopo.
Nitakuwa
safi,
unioshe,
nitakuwa
mweupe
kuliko
theluji,
Unifanye
kusikia
furaha
na
shangwe,
mifupa
iliyopondeka
ifurahi.
Ee
Mungu,
uniumbie
moyo
safi,
Uifanye
upya
roho
iliyotulia
ndani
yangu.
Usinitenge
na
uso
wako,
wala
Roho
Mtakatifu
usiniondolee,
Unirudishie
furaha
ya
wokovu
wako,
unitegemeze
kwa
roho
ya
wepesi.
Usitiri
uso
wako
usitazame
dhambi
zangu,
uzifute
hatia
zote,
Ee
MUNGU
wa
wokovu
wangu,
uniponye
na
damu
za
watu,
Ulimi
wangu
utaiimba
haki
yako,
Bwana
uifumbue
midomo
yangu,
Kinywa
changu
kitazinena
sifa
zako,
kwa
utukufu
wako
mkuu.
Hupendezwi
na
dhabihu,
au
ningeitoa
kwako,
Wewe
huridhii
sadaka
ya
kuteketezwa
pekee,
Dhabihu
za
Mungu
ni
roho
iliyovunjika,
Moyo
uliovunjika
na
kupondeka,
Wewe
hutaudharau.
Unitendee
mema
kwa
radhi
yako,
ujenge
kuta
za
fadhili
na
wema
unilinde
Kwa
Damu
yako
unijengee
Kuta
za
wokovu
wako.
Ee
Mungu,
uniumbie
moyo
safi,
Uifanye
upya
roho
iliyotulia
ndani
yangu.
Usinitenge
na
uso
wako,
wala
Roho
Mtakatifu
usiniondolee,
Unirudishie
furaha
ya
wokovu
wako,
unitegemeze
kwa
roho
ya
wepesi.
Ee
Mungu,
uniumbie
moyo
safi.
Ninaimba
sifa
zako
Bwana
wangu,
mwamba
wangu
jabali
langu,
nakutegemea
peke
yako.
Ee
Mungu,
uniumbie
moyo
safi,
Uifanye
upya
roho
iliyotulia
ndani
yangu.
Usinitenge
na
uso
wako,
wala
Roho
Mtakatifu
usiniondolee,
Unirudishie
furaha
ya
wokovu
wako,
unitegemeze
kwa
roho
ya
wepesi.
Alleluia
Nakusifu
MUNGU
wangu