Upo wap Mama watoto wangu, umekaa mbali siku nyingi
Karibu Tuishi kama zamani, mama wa watoto wangu
Ivan irene wanatuhiji tukiwa wote pamoja mama wa wanangu
Mama watoto wangu, asante kwa upendo
Ulikuwa nguvu yangu siku zote
Ulitupatia joto katika baridi
Now I'm lost without your light
Karibuni mama, forgive me please
Mama watoto wangu
nisamehe, tuishi kama zamani
Mama watoto wangu
Upendo wako haufi kamwe
Mama watoto wangu
Karibuni nyumbani
Tuishi tena, nakumiss
Sikukumbuki tena matatizo yetu acha amani itawale kwetu eeh
Mama wewe umefanya nijione nisiye na haki
Lakini moyo wako ulikuwa safi kwangu
Ungelala kwa ajili yangu
Now the kids need you here
Hawaoni furaha yetu katika macho yangu
Mama watoto wangu
nisamehe, tuishi kama zamani
Mama watoto wangu
Upendo wako haufi kamwe
Mama watoto wangu
Karibuni nyumbani
Tuishi tena kwa amani
Mwenzi yangu, furaha yangu
Mzazi safi, mama mwema wa wanangu
Watoto wangu wanaita nyumbani baba upo wapi
Kwanini tumegeuka vibaya mama I'm sorry
Mama watoto wangu
nisamehe
Tuishi kama zamani, forever i will always love you mama watoto
Ni Mwarabu kwenye hii tena naimba mapenzi