(Oh mpenzi wangu...)
Shadrack Martin, my first love and only
Tamu sana, yeah
Tangu mwanzo ulikuwa nami
Katika shida na furaha zangu
Hata tukiwa mbali, mpenzi wangu
Upendo wako unanijaza nguvu
Hawatoweza kututenganisha kamwe
Moyo wangu upo kwako tu
Asante Shadrack, Shadrack Martin wangu
Umenionyesha upendo wa kweli
Hata kwa umbali, bado uko nami
Moyo wangu ni wako milele yote
Ah, nakupenda sana, mpenzi wangu (tamu!)
Apa kitui hadi apo ulipo
Sauti yako inanipa joto la babaa
Asante kwa subira yako na uaminifu
Wewe ni dhahabu kwenye maisha yangu
(Twende!)
Asante sana Shadii,Martin wangu
Umenionyesha upendo wa kweli
Hata kwa umbali, bado uko nami
Moyo wangu ni wako milele yote
Ah, nakupenda sana, mpenzi wangu
Martuu l wangu...
First love, milele na milele
Poa sana