Frobits
🎵 A song made on Frobits

Yesu Ndie Mwokozi

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Rushwa
Kwani Hamjui
Zaka Ni Utapeli
Iliyochukua sura Ya Baraka Kwa Jina La kumtumikia Mungu Kwa Fedha zako Kumbe Wanakula Wao Kinyume Na Agizo la Torati
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Rushwa
Neno Lina Linasema Mungu Hatumikiwa Kwa Mikono Ya Wanadamu Kwamba Anahitaji Kitu Chochote
Kwa Maana Yeye Anayewapa Watu Pumzi Na Uhai Na Vitu Vyote Pia
Soma Matendo Kumi Na Saba Mstari Wa Ishirini Na Tano
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Rushwa
Fungu La Kumi Makanisani Ni Utapeli Unaowafanya Waamini wajihisi Wenye Hatia Wakati Waefeso Sura Ya Kwanza Mstari Nne Unaeleza Wazi Kwamba Mwamini Hana Hatia Mbele zake Mungu
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Rushwa
Kama Mnatoa Zaka Shikeni Na Sabato Ya Siku Na Sheria zote Maana Ashikae Sheria zote Akajikwaa Katika Neno Moja Amekosa Juu Ya Yote Yakobo Mbili Mstari Wa Kumi Na Wagalatia tatu Mstari Wa Kumi
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Rushwa
Kwanza Zaka Sio Fedha Kama Mnavyotapeliwa Maandiko Matakatifu Yanaeleza Wazi Mungu Mtakatifu Aliagiza Itolewe Zaka Ya Wanyama Na Nafaka soma Kumbukumbu la Torati Kumi Na Nne Mstari Wa Ishirini Na Mbili Hadi Ishirini Na Tatu
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Rushwa
Si Kwamba Hatujui Kuhusu Malaki 3 Lakini Mwasoma Vibaya Ukitaka Kuelewa Soma Kuanzia Sura Ya Kwanza Hadi Sura Ya Nne utagundua Ujumbe Ulikuwa Ni Kwa Ajili Ya Israeli
Zaka Ya Fungu la kumi Haiokoi
Yesu Ndie Mwokozi Na Ametuokoa Milele
Mungu Hapokei Rushwa
The Grace Walk

More songs by josephlaizer689 Listen to songs created by others
FROBITS