Frobits
🎵 A song made on Frobits

Namtolea Bwana kwa Furaha (Remix)

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Namtolea bwana wangu
Kwa furaha,
Alicho nipa yeye,
namrudishia.
Namtolea bwana wangu
Kwa furaha,
Alicho nipa yeye,
namrudishia..
Amenipa amani,
Amenipa furaha,
alichonipa yeye
Namrudishia
Amenipa kicheko
Amenipa uzima,
Amenipa amanii
alichonipa yeye
Ninamrudishia
Natoa vyote alivyo nijalia mwokozi wangu
Kwani kutoa nimoyo nawala siutajiri
Mimi
Natoa vyote alivyo nijalia mwokozi wangu
Kwani kutoa nimoyo nawala siutajiiiri.
Kumbuka yesu mwenye, alijitoa kufa kwaajili ya mtu mmoja aweze
kukombolewa, aaa
Sisi akina nani hata tusimtolee Mwokozi wetu uuu
Sisi akina nani hatatusitoe chochote eeeeeee
Baba toa, toa, toa
mama toa, toa upate baraka.
Nawe kaka toa toa, toa
Ubarikiwe
Mashamba yako yata barikiwa
Biashara zako zitabarikiwa
Wewe toaa , toa toa toa kwake Ubarikiwe eeee
Issack Kasonje

More songs by issackkasonje Listen to songs created by others
FROBITS