[female vocals] Tume
muaga
kwa
machozi,
kwa
huzuni (
Sauti
ya
huzuni
ya
uchungu)
Machozi
yanamwagika
mbele
ya
kiti
chako
Bwana
Twalia
kwa
uchungu,
Franck
wetu.
Twahuzunika
sana,
roho
zetu
zimelemewa
CBCA
twasimama
kwa
unyenyekevu
Tukitazama
picha
yake,
Franck
Kipuni
Franck
ametuacha
bila
kuaga
Ulienda
zako,
ukaacha
pengo
kubwa
mioyoni
mwetu.
Sasa
ameenda
Franc
mwanafunzi
was
biblia,
kifo
kimekata
kamba
Tumejawa
na
maswali,
jibu
twajipatia
siku
moja
tutaonana.
Safari
hii
ni
nzito,
safari
hii
ni
ndefu
mno
Rest
in
peace,
Franck
Rest
in
peace,
ulienda
mbele
yetu
safari
ya
rafla...
Rest
in
peace,
tutamukumbuka
daima
daima.
Beni
ville
yote
yalia,
viumbe
vyote .
Tume
muaga
kwa
machozi,
kwa
huzuni
Kifo
ni
siri
ya
Mungu,
hatuna
pa
kusemea
Tunabaki
tukiuliza,
kwanini
sasa
hivi?
Kipuni
Franck
ulikuwa
na
ndoto
tele
Lakini
upepo
wa
mauti
umewavusha
ng'ambo
Sisi
tuliobaki
tunapambana
na
upweke
Kila
kona
ya
Beni,
sauti
yako
haita
sikika
tena
Ni
ukimya
mtupu,
ni
baridi
inayoingia
mifupani
Rest
in
peace,
Franck
Rest
in
peace,
mulienda
mbele
yetu
safari
ya
kiza
Rest
in
peace,
tutawakumbuka
daima
daima
Beni
yote
yalia,
viumbe
vyote
vimetulia
Tunamuaga
kwa
machozi,
tunamuaga
kwa
huzuni
Safari
ya
dunia
ni
ujumbe
kwetu
sote
Kwamba
siku
moja,
nasi
tutaondoka
pia
Baba
tusaidie,
safari
ni
ndefu
na
yenye
machungu
Tupe
nguvu
ya
kuvumilia,
tupe
faraja
ya
kweli
Tunakaza
mwendo,
ijapo
njia
imekuwa
ngumu
Franck
na
ametutangulia
mbele
za
haki
Rest
in
peace,
Franck
Rest
in
peace,
ameenda
mbele
yetu
safari
ya
milele
Rest
in
peace,
tutamukumbuka,
daima
daima
Beni
yote
yalia,
viumbe
vyote
vimetulia
kwa
machozi,
wa
candidat
au
bapteme
wamebaki
n'a
huzuni
Alale
salama,
Franck
Tutakutana
asubuhi
ya
ufufuo
Safari
imeisha,
pumzikeni
kwa
amani
Beni
haitawasahau,
tutabaki
na
kumbukumbu
zao
Rest
in
peace...
Rest
in
peace...