Frobits
🎵 A song made on Frobits

Furaha Yetu Wote (Remix)

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Eeh ayee! Furaha yetu leo, imefika! Twende tukasherekee maisha ni mafupi let's go go together
Mambo vipi, watu wangu wa Songwe
Kumekucha asubuhi tukaingia misele kusaka chochote, Mungu si asumani si amebariki chochote, baada ya mipango ya wiki nzima hatimaye weekend hii hapa paap..
Leo tunajikusanya, vibe safi, si utani
Kila kona ya Songwe ina vibe si utani, aah tutalewa leo let's go wanangu
naanza kwa monie, napita Kuna showroom kwa zera na maliza the wheel
Hakuna kulala, ngoma kali za gasto huku Philippo
Twende sawa, mikono juu, turuke mangoma
Tucheze muziki, moyo unafurahi
Kuna stress kidogo, tuziweke kando
Tunaachia nafsi, tunakufa jamani
Beat ina flow, kama maji ya bahari
Na gitaa kali lina-shake, kila mtu na wake
Tunaishi na kuisha usinipe ushauri bar utanilewesha, tutaongea J Tatu acha kunichelewesha, kama mvinyo upigwe maini yafanye kazi yake, aah na tukiumwa hatuna hela hapa wala nyumbani ni mipango ya sir God au sio
naanza kwa monie, napita Kuna showroom kwa zera na maliza the wheel
Hakuna kulala, ngoma kali za gasto huku Philippo
Twende sawa, mikono juu, turuke mangoma
Tucheze muziki, moyo unafurahi wanangu
Tusisahau kuwaombea waliopo vitandani
Burudani ni tiba achia moyo enjoy your moment
Happy moment is not for everyone watu wanatendwa alooo
Ayee! Furaha yetu... kyetu sote
Ni mwarabu kwenye hii hapa tena
Thank you

More songs by Bonny Listen to songs created by others
FROBITS