Yo, yo, yo!
Jomela Mbeya!
Bar nzuri, club kali unasemaje paleee tuimbe wote sema..... ayee
Club safi mbeya yangu, JOMELA njoo mchana and night ufurahie siku yako
Jomela safi si utani watoto wa wakalii sio poa
Kila mahali ndani ya club kuna vibe si utani,
Mambo fresh au wanangu mnasemaje? , twende kwenye burudani tunywe tulewe maisha ni mafupi
Any style you can dance, flow safi watoto safi aaah karibu JOMELA Mpe tano wa karibu sema enjoy this is Jomela enjoy tunakufa mwanangu asa wote na tuseme
Bar nzuri,watoto wazuri Jomela Mbeya! Aah hii si leo ni kila siku
Bar nzuri, Jomela tunafurahi
Kila siku, kila mahali hapa kati ni shangwe Jomela niende wapi kama si hapa hapa
Ayee ayee sio poa mwambie mwenzio jimbo ni moja Jomela Mbeya! Aaah mbona utafurahi
Ndugu rafiki na wale jamaa waambie hi ni yetu sotee
Hakuna tatizo na Jomela kaka dada hata yule s h angazi hii ni yetu sote
Utafanya kila kitu safi usipopita Jomela daaah utafeli
Mziki mzuri, ngoma kali za Dj Juzo
Twende tunavyoenda, sisi ni chama Jomela one love
Mbeya pride, Mbeya pride, East Africa pride
Jomela Mbeya, asante kwa shangwe na mambo fresh raia wako poa na mpaka sasa tunalala time is over wanangu hii ni yetu sotee tuimbe wote sema
Bar nzuri,watoto wazuri Jomela Mbeya! Aah hii si leo ni kila siku
Bar nzuri, Jomela tunafurahi
Kila siku, kila mahali hapa kati ni shangwe Jomela niende wapi kama si hapa hapa
Ayee ayee sio poa mwambie mwenzio jimbo ni moja Jomela Mbeya! Aaah mbona utafurahi
Ndugu rafiki na wale jamaa waambie hi ni yetu sotee
Eeh baba hii ni yetu sote Jomela is for everybody
Ukisikia raha za dunia usikariri jomela ndio chimbo we njoo mwanangu utaenjoy
Usipigane aaah wadada kibao ni wewe tu na bajeti mwanangu
Jomela, Jomela!
Bar yetu Jomela hakuna baya
Shida uje nayo wewe tajiri
Ni Mwarabu kwenye hii tena
Jomela chimbo letu wana Mbeya au sioooo
Thank you.....