Ray skeedo
Eeeh Mungu wangu
Nionyeshe njia
Nifungulie ...niweke huru
Tazama ninakotoka
Ni mbali ninako kwenda
Niepushie shida ninazopitia
Kutwa kucha nipo mwenyewe..
Sina wakumtegemea,wakumweleze shida zangu ila wewe baba
(Chorus)
Nimejaribu mapenzi nikashindwa
Kumbe kipenzi ni wewe
Nimejinyenyekea kwake
Kumbe wa kunyenyekea ni wewe
Nimejaribu mapenzi nikashindwa
Kumbe kipenzi ni wewe
Nimejinyenyekea kwake
Kumbe wa kunyenyekea ni wewe
(Verse)
Kati ya kumbukumbu zangu
Na mienendo yangu
Sijawaipata mapenzi ya kweli
Baaba umenionesha kupenda
Baaba umenifunza mapenzi ya kweli
Kama ni penzi na liwe Kati ya Wana wako
Undugu na uwe mbele ya uwepo wako
Naamini tupo kwa neema
Naamini ulitaka tuishi vyema
(Chorus)
Nimejaribu mapenzi nikashindwa
Kumbe kipenzi ni wewe
Nimejinyenyekea kwake
Kumbe wa kunyenyekea ni wewe
Nimejaribu mapenzi nikashindwa
Kumbe kipenzi ni wewe
Nimejinyenyekea kwake
Kumbe wa kunyenyekea ni wewe