(Ayee! Safi! Lets Go!)
Maisha yetu ni testimony Tosha, Oooh yoh! Testimony tosha!
Maisha yetu ni testimony, watch us now!
Ukuu wako unadhihirika in our life, kweli baba u mkuu sana
We had fallen, we cried, broken and dissapointe!!
But still we believed in you, Ooooh Baba mwangaza umeanza
Hawakuona ndoto yetu, wakasema haiwezekani
Sasa tunaandika historia, kwa kuishi utukufu na ukuu wa Mungu
(Haleluya!)
Maisha yetu ni living testimony, eeh baba! Living testimony!
Ndo maana twasema asante, hata sasa tunaangaza gizani
Kila kona, kila mtaa wanausifu utukufu wako
Maisha yetu ni living testimony, lets go! Ooh lets go!
(Haleluya! Haleluyaaah) Testimony! Oooh testimony!
Hustle yetu ya mchana na usiku sasa inalipa
Ukimuachia Mungu anatenda, kabisa anakushangaza
His will stands now, even in storms to come!
Hata tukipita kwenye mabonde, hatuogopi kamwe
Tuna dance kwenye ushindi wetu, simba wa Yuda yu pamoja nasi
(Halleluya! Halleluya! Asante babaa)
Maisha yetu ni living testimony, eeh baba! Living testimony!
Ndo maana twasema asante, hata sasa tunaangaza gizani
Kila kona, kila mtaa wanausifu utukufu wako
Maisha yetu ni living testimony, lets go! Ooh lets go!
(Haleluya! Haleluyaaah) Testimony! Oooh testimony!
Testimony! Mama G testify Oooh!
Ayee! Haleluyah! Testimony!
Meja T! Ooooh lalalalaaa
(Lets go! Haleluyaah!)