Frobits
🎵 A song made on Frobits

Tamala Wa Moyo Wangu

0:000:00
Download
Make your own song
Lyrics

[male vocals] TAMALA

Tamala

wanizuzuwa,

na

hilo

pendo

ambalo

Mwenzio

ninapagawa,

na

huba

nilipatalo

Na

hasa

ninauguwa,

nisijijue

kwa

hilo

Si

tende

siyo

haluwa,

utamu

niuhisio.

Ona

navyojimwagia,

dabwa

machozi

shavuni

Sikai

nikatulia,

hemuhemu

ni

ndiani

Kaumu

wanidhania,

majununi

akilini

Ni

huba

lanizuzua,

hilo

hawajabaini.

Naradidi

kwa

karara,

nudhumu

nakutungiya

Ikufike

tajamala,

heri

nakusabiliya

Kwako

isiwe

hasara,

mahaba

kinigawiya

Jitume

kugangamala,

hatamu

kujishindiya.

Kwako

weye

sifukuti,

penzi

nimeshaliridhi

Kwa

huba

najidhatiti,

nisitoke

kwenye

jozi

Wache

waunde

kamati,

ndizo

za

kwao

walozi

Kwako

mefika

tamati,

bendera

naikabidhi.

More songs by NJOGOPA Listen to songs created by others
FROBITS