Frobits
🎵 A song made on Frobits

Safari Ya Mafanikio

0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[male vocals] Leo

nisiku

ni

siku

ya

shangwe

kuwaagana

na

wenzetu

la

saba

Tulishirikiana

kwa

upendo

hapa

shulen

kwetu

mbezi

bichi

[male vocals] Leo

nisiku

ni

siku

ya

shangwe

kuwaagana

na

wenzetu

la

saba

Leo

nisiku

ni

siku

ya

shangwe

kuwaagana

na

wenzetu

la

saba

Twawapongeza

kwa

safari

ndefu

wenzetu

lasaba

mmehitimu

Nimengi

mmejifunza

shulen

ujuzi

walimu

waliwapeni (

Muutumie

ujuzi

vywema

kupambana

na

maisha

ya

sasa)×2

Tunawahasa

huko

muendako

muepuke

na

makundi

mabaya

Ulevi,

uzinzi,

uzurulaji

nivitendo

vinavyo

haribu

utu (

Mvihepuke

achaneni

navyo

muishi

vyema

katika

jamii)×2

More songs by Mike Listen to songs created by others
FROBITS