Frobits
🎵 A song made on Frobits

Amapiano Yangu

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Iposiku itakuwa sawa ooh sawa ooh sawa ooh sawa x3
Hivi nina nini mimi na nini matatizo kwangu haya ishi mbona hiviii mimi na nini nimekosea nini matatizo kwangu haya ishi mbona hivii
Au ndo kusema nina laana au dua zangu azifiki fungu langu lipi Bwana nami nionesheee
Pesa magali sina
Familia yanitazama watoto wanitazamaa Bwana niokoee pesa magari sina familia yanitazama fungu langu lipi Bwana nami nioneshee
Iposiku itakuwa sawa ooh sawa ooh sawax3
Usilie mama mjani mungu anakuona usikate tamaa
Usilie we yatima Mungu anakuona usikate tamaa
Nawe mwanafunzi usikate tamaa yakusomaa soma
Mungu anakuona usikate tamaa pesa magali sina familia yanitazama fungu langu lipi bwana naminioneshee
Iposiku itakuwa sawa ooh sawa ooh sawax3

More songs by Gasto Listen to songs created by others
FROBITS