Yo! Sir Nixy on the beat, manze!
Kanairo, mbona niko solo?
Yo, ah!
Mbona kila dem naye anikatae?
Niko down, mbona hakuna upendo?
Kila msee ananicheki kama fala
Mapenzi ni nini manze, niko kwa kona nikilala
Nani kaniroga, mbona niko na mikosi?
Sina mpenzi, kila siku ni kukanyaga lami kama kosi
Hata kina mama huruma walienda wapi?
Moyo wangu umejaa makovu, sasa nifanye nini?
Mapenzi ni nini, mbona sipendwi mimi?
Brenda nakumbuka tulicheza utotoni, mbona unanikataa?
Brenda, hata wewe umeniacha kwa giza!
Si dem mmoja tu anihurumie, upendo unanimaliza!
Mbona sipendwi mimi? Brenda unanikataa!
Brenda, tulisoma wote shule, tukaishi mtaa moja
Sasa unanipita kama msee wa ngoja-ngoja
Umeingia Westlands, ukasahau michezo ya kitambo
Moyo wangu unauma, hapa tao niko kando
Dem mmoja anihurumie, nishachoka na hii baridi
Maisha bila upendo manze ni ngumu, inazidi!
Mapenzi ni nini, mbona sipendwi mimi?
Brenda nakumbuka tulicheza utotoni, mbona unanikataa?
Brenda, hata wewe umeniacha kwa giza!
Si dem mmoja tu anihurumie, upendo unanimaliza!
Mbona sipendwi mimi? Brenda unanikataa!
Sir Nixy, manze...
Brenda mbona lakini?
Kanairo niko solo, ah...