Mungu wangu wewe ni kimbilio langu, wewe ni msaada wangu, wewe ni ngao yangu na Nuru yangu imulikayo nyakati zote, nasogea kwako ee Mungu muweza wa yote, neema, Rehema na kibari visiondoke kwangu ili mimi nisitawi na kuchanua ndani ya chemichemi Yako ya uzima ukiwa ndiwe habari langu na wokovu wangu la la la la la la,
Hata nijapo pita kati ya bonde la uvuli wa mauti wewe bwana u pamoja NAMI hivyo sitaogopa mabaya maana wewe MUNGU umekuwa ngao na kigao, adui zangu hawatanipata maana wanigusapo wanagusa mboni ya jicho lako hivyo upanga wako utakuwa juu yao, tul tul tul tul ndio maana nakupenda baba yangu maana hata wewe ulinipenda mimi kristo na kwa kupiga kwako hakika mimi nilipokea ushindi oh oh oh oh nakupenda Yesu , nakupenda Yesu nakupenda sana
Mungu wangu wewe ni kimbilio langu, wewe ni msaada wangu, wewe ni ngao yangu na Nuru yangu mh mh mh ta ta ta ta imlikayooooo