Frobits
🎵 A song made on Frobits

Shukrani Zangu Kwa Mungu (Remix)

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

SHUKRANI ZANGU KWA MUNGU
Nimerudishie nini Bwana wangu. Kwa wema mkubwa alionitendea, yeye ni mwamba wa wokovu wangu.
Nitaziimba sifa zake daima milele na milele.
Sifa za Bwana zivume ndani yangu daima .
Watakatifu wafurahi walitukuze jina la Bwana.
Nitaimba sifa za Bwana madam ningali hai.
Nionapo ule msalaba wa Bwana Yesu, ninapata tumaini la wokovu wangu.
Dhambi zangu zote zilifutwa pale msalabani.
Deni zangu zote zililipwa pale msalabani
Na hata sasa namsifu yeye mwana wa Mungu.
Sasa yeye ndiye chanzo cha uhai wangu.
Yeye ndiye sababu ninaishi haleluya
Mungu wewe ndiwe ngome yangu sintaogopa chochote maana wewe upo nami daima siku zote.
Nimerudishie nini Bwana wangu. Kwa wema mkubwa alionitendea, yeye ni mwamba wa wokovu wangu.
Nitaziimba sifa zake daima milele na milele.

More songs by Mwl. Listen to songs created by others
FROBITS