[male vocals] Baba,
wewe
ni
nguzo
ya
imani
Tunakuinua
leo,
mtumishi
wa
Mungu
Apotre,
patriarche
Josue
Kahambo
mboka
Mlagilwa
Baba
yangu
wa
kiroho,
moyo
wako
ni
mkuu
Miye
mtoto
wako,
Nabii
Jeremie
Mwananyembo
Ninakiri
mapenzi,
mlinilea
kwa
upendo
EPNJ
ndio
maono,
nuru
inang'aa
sana
Nashukuru
kwa
mwongozo,
mlinifundisha
njia
Barikiwa
baba,
Josue
Kahambo
Mlagilwa
Ulinipatia
jina,
Timotheo
wako
mimi
Fils
fidèle
kwa
baba,
nimepokea
upako
Asante
kwa
kunipenda,
asante
kwa
kunichunga
Asante
baba,
neema
ya
Mungu
iwe
juu
yako
Namshukuru
Mungu
kwa
mke
wako
mwema
Mtumishi
Véronique
Maganga,
mwanamke
wa
nguvu
Na
watoto
wako
wote,
Kefa
mtoto
wako
wa
kwanza
John
na
Marlene,
na
mapasa
kaya
na
chungu
wa
ajabu
Nyumba
yenu
ni
baraka,
ni
nuru
kwa
mataifa
Asante
kwa
kunipokea,
mlinipa
nafasi
Barikiwa
baba,
Josue
Kahambo
mboka
Mlagilwa
Ulinipatia
jina,
Timotheo
wako
mimi
Fils
fidèle
kwa
baba,
nimepokea
upako
Asante
kwa
kunipenda,
asante
kwa
kunichunga
Asante
baba,
neema
ya
Mungu
iwe
juu
yako
Mungu
abariki
mtumishi
Anastazi
pia
aliye
tuchunga
akatudumiya
kwa
chakula
na
kulala,
mtumishi
papa
Clément,
mtumishi
maman
hortince
Na
mtumishi
Fahida,
apumzike
kwa
amani
Nakuombea
nguvu
tele,
uendelee
mbele
Siku
zako
ziongezeke,
neema
ifurike
Hallelujah,
sifa
kwa
Mungu
aliye
hai
Ulinibariki
sana,
ulinipenda
kwa
dhati
Ulinichunga
vizuri,
kama
mwana
wa
kweli
Sitaacha
kukushukuru,
baba
wa
kiroho
Yesu
akulinde
daima,
akupe
maisha
marefu
Ubarikiwe
sana,
kwa
kazi
njema
unayofanya
Barikiwa
baba,
Josue
Kahambo
Mlagilwa
Ulinipatia
jina,
Timotheo
wako
mimi
Fils
fidèle
kwa
baba,
nimepokea
upako
Asante
kwa
kunipenda,
asante
kwa
kunichunga
Asante
baba,
neema
ya
Mungu
iwe
juu
yako
Barikiwa
baba,
Josue
Kahambo
Asante
kwa
kila
kitu,
nakupenda
papa
Amen,
hallelujah,
utukufu
kwa
Mungu
Barikiwa
milele
baba
yangu,
Amen.