Ooh yeah.... hiiii
Faraja Songwe! Sauti ya umoja... Sauti ya matumaini... Tupo pamoja, kwa ajili ya jamii!
Sikia hii ni yetu sote...
Faraja Songwe, nyota inayong'aa, Tunapanda mbegu ya upendo kila mahali Mikono inaungana, ndoto zinatimia, Kwa pamoja tunashinda kila changamoto Hakuna aliye mdogo, Hakuna aliye peke yake Faraja ni moyo, Faraja ni familia, upendo kwetu ni tunu dunia ina mengi matumaini ya kweli yapo faraja karibuni wengine hii ni familia yetu jamani, ukisikia amani ya moyo basi faraja ni mpango mzima hii ni yetu sote kwa pamoja tuimbe oooooh....
Faraja Songwe, furaha yetu, Umoja wetu ni nguvu ya ushindi. Faraja Songwe, bega kwa bega, Tukimtanguliza Mungu, tutafika mbali, familia hii ni amani Romward Shahidi hata iwe nini kuachana na Faraja aaah nitapata wapi Amani kama hiii
Shukrani viongozi na wanachama wetu, Romward Mwashiuya, mfano wa uongozi wenye hekima. Henry Makelele, moyo wa kujituma Jack Bible, sauti ya kuhamasisha umoja. Sarah Joseph, mfano wa upendo na matumaini. Mwamagala, tunathamini mchango wako mkubwa. Pamoja tunaijenga Faraja Songwe kwa moyo mmoja. Umoja wetu upo mbali kule kwa furaha huzuni faraja songwe tupo hapa mipango safi tumaini kwa wanachama wote, kelele hizi za shangwe tuna jambo letu leo mwambie mwenzio faraja songwe amani ya wengi hii ni yetu sote kwa pamoja tuimbe ooooh
Faraja Songwe, furaha yetu, Umoja wetu ni nguvu ya ushindi. Faraja Songwe, bega kwa bega, Tukimtanguliza Mungu, tutafika mbali, familia hii ni amani Romward Shahidi hata iwe nini kuachana na Faraja aaah nitapata wapi Amani kama hiii
Leo tunaimba kwa furaha, Kesho tutavuna mafanikio. Faraja Songwe ni familia, Tutadumu milele kwa umoja.
Faraja Songwe, twaimba kwa furaha, Jina letu liangaze kila mahali. Faraja Songwe, tupo pamoja, Upendo, umoja na maendeleo daima!
Ni Mwarabu kwenye hii tena
Faraja songwe hii ni Yetu sote