Frobits
🎵 A song made on Frobits

Sebene Ya Ushindi (Remix)

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Chriss Msaki Nasifu kuwa Mtafuteni Bwana maadamu yeye anapatikana yeye you karibu Bwana Anapatikana yeye yeye you karibu
Chorous
Mtafuteni Bwana maadamu yeye anapatikana yeye you karibu Bwana Anapatikana yeye yeye you karibu x2
Vervs
Mtafuteni BWANA, maadamu anapatikana, Mwiteni, maadamu yu karibu; Mtu mbaya na aache njia yake, Na mtu asiye haki aache mawazo yake; Na amrudie BWANA, Naye atamrehemu; Na arejee kwa Mungu wetu, Naye atamsamehe kabisaLakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.
Chorous
Mtafuteni Bwana maadamu yeye anapatikana yeye you karibu Bwana Anapatikana yeye yeye you karibu
Mtafuteni Bwana maadamu yeye anapatikana yeye you karibu Bwana Anapatikana yeye yeye you karibux2
Verse

More songs by Man Listen to songs created by others
FROBITS