Nawapenda
sana
wanangu,
ninyi
ni
kila
kitu
Mungu
awalinde,
Mungu
awapiganie
Colin
Joel,
Emanuel
Joel,
Jackline
Joel,
Doricas
Joel,
nafsi
yangu
Herson
Joel,
Loyce
Joel,
furaha
yangu
Baba
yenu
Joel
Kanyelele
niko
hapa
Nawapenda
sana,
ninawapambania
sana
Mzidi
kuniombea
kwa
Mungu
ninyi
ni
zawadi
kwangu
Maisha
yenu
yawe
yenye
nuru
daima
Nawapenda
sana
wanangu,
ninyi
ni
kila
kitu
Mungu
awalinde,
Mungu
awapiganie
Awainue
juu,
awape
hekima
tele
Mungu
awe
nguzo,
kila
hatua
ya
maisha
yenu
Nawapenda
sana,
watoto
wangu
wapendwa
Mkue
kwa
kumtegemea
yeye
Mungu
Sauti
yake
iwe
mwongozo
wa
safari
zenu
Muwaheshimu
watu
wote
bila
kujali
Uwezo
wa
vipato,
au
maisha
yao
ya
kila
siku
Unyenyekevu
ndio
nguvu
ya
kweli,
wanangu
Nawapenda
sana
wanangu,
ninyi
ni
kila
kitu
Mungu
awalinde,
Mungu
awapiganie
Awainue
juu,
awape
hekima
tele
Mungu
awe
nguzo,
kila
hatua
ya
maisha
yenu
Nawapenda
sana,
watoto
wangu
wapendwa
Popote
mtakapoenda,
kumbukeni
nyumbani
Baba
yuko
hapa,
nawaombea
kwa
dhati
Chukweni
mafunzo
haya,
yawaongoze
vyema
Upendo
wa
baba,
hauna
mwisho
wala
kikomo
Nawapenda
sana
wanangu,
ninyi
ni
kila
kitu
Mungu
awalinde,
Mungu
awapiganie
Awainue
juu,
awape
hekima
tele
Mungu
awe
nguzo,
kila
hatua
ya
maisha
yenu
Nawapenda
sana,
watoto
wangu
wapendwa
nawapenda
sana
Colin,
Emanuel,
Jackline,
Doricas,
Herson,
Loyce
Mbarikiwe,
mbarikiwe
sana
Mungu
awalinde,
Mungu
awapiganie
Nawapenda
sana,
watoto
wangu
wapendwa