Oh
Noel,
Noel,
tunakuita
leo,
Kwa
ngoma
na
nyimbo,
tunakumbuka
leo,
Noel
Clerk,
rafiki
yetu,
Mwanaskauti
mwenzetu,
mwenye
moyo
wa
huruma,
Ulitenda
mema,
ukapanda
mbegu
za
amani,
Leo
tunalia,
lakini
tunakumbuka
tabasamu.
Mama
mpendea
wa
Emmanuel
Elly.
Ukaacha
upendo
ndani
ya
familia,
Pamela,
Justus,
John
Paul
na
Deklerk,
Wamesimama
pamoja,
wakikumbuka
maisha
yako.
RABUKA
mlaze
pema
peponi.
Noel
Clerk,
Leo
tunachapa
dance
yako,
Kila
aina
ya
Mwanaskauti
yuko,
Wakubwa
kwa
wadogo
wako,
Tunasherehekea
maisha
mema
yako.
We
are
celebrating
a
life
well
lived,
Noel
Clerk,
Leo
tunachapa
dance
yako,
Kila
aina
ya
Mwanaskauti
yuko,
Wakubwa
kwa
wadogo
wako,
Tunasherehekea
maisha
mema
yako.
We
are
celebrating
a
life
well
lived,
Alice
Kihungi —
tunakushukuru,
Kwa
upendo
na
heshima,
tunasema
asante
kwako,
Moses
Danda —
simama,
kumbukumbu
iko,
Anthony
Gitonga —
pamoja
nasi
leo.
Eliud
Wambua,
Dr.
Kuto —
sauti
yako
isikike,
David
Ngiela,
Fred
Okumu—
jina
la
Noel
lisikike,
Victor
Ndolo
na
John
Angawa —
mikono
juu,
dance
iendelee,
Ochieng
Changes —
kwa
Noel,
moyo
usimame.
Apok
Amacar,
George
Ochieng'—
twende
kwa
heshima,
Zablon —
tupo
pamoja,
hakuna
wa
kubaki
nyuma,
David
Sai —
simama,
tusikie
sauti
yako,
Kwa
Noel
Clerk —
Scout
wote,
twende
pamoja!
RABUKA
mlaze
pema
peponi.
Noel
Clerk,
Leo
tunachapa
dance
yako,
Kila
aina
ya
Mwanaskauti
yuko,
Wakubwa
kwa
wadogo
wako,
Tunasherehekea
maisha
mema
yako.
We
are
celebrating
a
life
well
lived,
Leader:
Onchari,
Nyaberi,
Makori,
Wote:
Yuko
moyoni!
Leader:
Nyakuna,
Nyawanda,
Nyanjom,
Wote:
Yuko
moyoni!
Leader:
-Chege,
Chitu,
Chore,
Changes
Wote:
Ameganda
moyoni
Leader:
Alwala,
Waliula,
Osala,
Wote:
Tupo
pamoja!
Leader:
Janet,
Joanne,
Job,
Judy,
Wote:
Tupo
pamoja!
Leader:
Okumu,
Obiero,
Otiende,
Owen
Wote:
Tupo
pamoja!
Leader:
Apok,
Aseyo,
Agnes,
AlFarook.
Wote:
Tupo
pamoja!
Leader:
Broderick,
Belinda,
Byron,
Birgen,
na
Beaty
Wote:
Zitaishi
milele!
RABUKA
mlaze
pema
peponi.
Noel
Clerk,
Leo
tunachapa
dance
yako,
Kila
aina
ya
Mwanaskauti
yuko,
Wakubwa
kwa
wadogo
wako,
Tunasherehekea
maisha
mema
yako.
We
are
celebrating
a
life
well
lived,
Solomon
Kimani,
Job
machoni,
Wamwekosa
Amani,
Kwa
kuwapa
mkono
WA
buriani,
Kumbukumbu
zako
hazitatutoka
asilani.
Lucy
Owino,
Belinda
Owino,
Na
Denis
Owino,
Daima
wako
wino,
Umeandika
Yao
Mioyo.
RABUKA
mlaze
pema
peponi.
Noel
Clerk,
Leo
tunachapa
dance
yako,
Kila
aina
ya
Mwanaskauti
yuko,
Wakubwa
kwa
wadogo
wako,
Tunasherehekea
maisha
mema
yako.
We
are
celebrating
a
life
well
lived,
Oh
Noel…
Noel
Clerk…
Dance
hii
ni
yako,
Nyimbo
hizi
ni
zako,
Kumbukumbu
hizi
ni
zako,
Na
upendo
huu
ni
wako.
Melchizedek,
Maxwell,
na
Michael,
Oyoo,
Oloo
na
Solo
Marumbu,
Makori,
Machanja,
Muhonjana
Muita,
Bado
wanakuita,
RABUKA
mlaze
pema
peponi.
Noel
Clerk,
Leo
tunachapa
dance
yako,
Kila
aina
ya
Mwanaskauti
yuko,
Wakubwa
kwa
wadogo
wako,
Tunasherehekea
maisha
mema
yako.
We
are
celebrating
a
life
well
lived,
Oh
Noel…
Noel
Clerk…
Dance
hii
ni
yako,
Nyimbo
hizi
ni
zako,
Kumbukumbu
hizi
ni
zako,
Na
upendo
huu
ni
wako.
Melchizedek,
Maxwell,
na
Michael,
Oyoo,
Oloo
na
Solo
Marumbu,
Makori,
Machanja,
Muhonjana
Muita,
Bado
wanakuita,
RABUKA
mlaze
pema
peponi.
Noel
Clerk,
Leo
tunachapa
dance
yako,
Kila
aina
ya
Mwanaskauti
yuko,
Wakubwa
kwa
wadogo
wako,
Tunasherehekea
maisha
mema
yako.
We
are
celebrating
a
life
well
lived,
Oh
Noel…
Noel
Clerk…
Dance
hii
ni
yako,
Nyimbo
hizi
ni
zako,
Kumbukumbu
hizi
ni
zako,
Na
upendo
huu
ni
wako.
Melchizedek,
Maxwell,
na
Michael,
Oyoo,
Oloo
na
Solo
Marumbu,
Makori,
Machanja,
Muhonjana
Muita,
Bado
wanakuita,
RABUKA
mlaze
pema
peponi.
RABUKA
mlaze
pema
peponi.