Frobits
🎵 A song made on Frobits

Maendeleo ya Nakasunyu

0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[male vocals] Mimi

Bazile

mujinji

nakalengera

n'a

mpenzi

Wangu

ajuwa

mwa

kavava

tunaanza

kufanya

byashara

hii

mwezi

wa

kumi

n'a

mbili

tariki

ishirini

n'a

Tano

hapa

kwetu

nakasunyu,

Bazile

alikuwa

mtu

wa

maendeleo

lakini

Watu

wenye

nia

mubaya

wakatupokonya

n'a

kutuiba

mali

yote

lakini

wakasahau

ya

kwamba

tungali

n'a

mikono

n'a

miguu

kwa

kutafuta

mali,

akiingiliya

yesu

mambo

yote

Sawa,

Bazile

n'a

ajuwa

mwa

kavava

walihangaika

kwa

kutafuta

mali

wizi

ni

Watu

wabaya,

wa

ndugu

muje

wengi

kwa

kuuza

bitu

hapa

nakasunyu,

mukaribiye

sana

wapendwa,

Bazile

mtu

mwenye

maendeleo

wajiunge

nasi

tena

n'a

Mungu

azidishe

mali

yangu

kuliko

île

ya

zamani.

More songs by Fidèle Listen to songs created by others
FROBITS